Saturday 15 October 2016

CATHERINE MKOMA TOUR IN KENYA @2016

CATHERINE MKOMA afanya tour nchini Kenya alipokelewa vizuri na alipata fursa ya kuimba mjini NAIROBI Pamoja na MOMBASA na Kote alipoimba Alipata kibali na Mungu alionekana Kupitia Watu kuponywa Kwa Jumbe Zilizomo ndani ya Nyimbo zake na Juzi juzi tu mjini Mombasa alifanya Collabo ya nyimbo mpya kabisa inayoitwa SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA huku akishirikiana na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY nyimbo ni nzuri sana na ikombioni kutoka KENYA kaa Tayari.

0 comments: