CATHERINE MKOMA AIMBA PAMOJA NA AMBWENE MWASONGWE KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN.

Wakati Ambwene Mwasongwe akiimba katika Uzinduzi wa Mwamin Muyero Catherine Mkoma ni mmoja wa waimbaji waliokuwa wakimpa support Mwimbaji nguli wa nyimbo za gospel hapa Tanzania mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe bila kumsahau Mwamin naye alikuwepo pamoja na waimbaji wengine wengi.

ALBUM YA SITA SAHAU WEMA WA MUNGU HIVI PUNDE ITAENEA TANZANIA NA AFRICA YOTE.

Catherine Mkoma yuko mbioni kuisambaza Album yake ya Sitasahau Wema Wa Mungu Africa yote kwa sasa sehemu kubwa ya Tanzania imeshaenea na Baadhi ya maeneo ya East Africa,marafiki wote wa Catherine mkoma ambao hamjapata Album mda simrefu mtaipata hapo hapo ulipo.

SITA SAHAU WEMA WA MUNGU NI ALBUM MPYA KABISA YA CATHERINE MKOMA.

Kwa Sasa Ipo Madukani Unaweza Kuipata kwa nambari 0715570457 Au 0713040730. Catherinemkomatz@gmail.com

CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO MJINI MOMBASA-KENYA.

Nyimbo ya Collabo ya SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA iliyofanywa KENYA-MOMBASA na CATHERINE MKOMA huku akishirikiana na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY Iko mbioni Kutoka na Baadae Video itafuata.KENYA GET READY......!

FOLLOW ME FACEBOOK,INSTAGRAM,TWITTER,YOUTUBE, WHATSAPP +255715570457.

Kwasasa napatikana Facebook kwa jina la CATHERINE MKOMA, Instagram;-@Catherinemkoma,twitter:-@Catherine_mkoma,Youtube:-Catherine Mkoma

Thursday 27 October 2016

CATHERINE MKOMA,MARTHA MWAIPAJA NA NABII LINUS TESHA WAPATA PICHA YA PAMOJA.

Ikiwa ni mda mchache kuelekea katika kongamano kubwa la UNABII,UPONYAJI na MIUJIZA mtumishi wa Mungu Nabii LINUS TESHA alipata fursa ya kusema machache na waimbaji toka Dar es salaam CATHERINE MKOMA na MARTHA MWAIPAJA na Baada ya hapo walipata picha ya pamoja.#Dodoma.

Wednesday 26 October 2016

CATHERINE MKOMA NA MARTHA MWAIPAJA WAPATA MUALIKO MJINI DODOMA.

Mtumishi wa Mungu Nabii LINUS TESHA awaalika CATHERINE MKOMA na MARTHA MWAIPAJA katika Kongamano kubwa la Kinabii.uponyaji pamoja na miujiza lililoanza hapo tarehe 25.10.2016 mpaka 30.10.2016 na hili kongamano limeuzuliwa na waimbaji toka sehemu mbalimbali hapa nchini Tanzania kama mbeya,na iringa.Mungu ni mwema watu wamempa Yesu maisha yao.

Tuesday 25 October 2016

ALBUM YA SITA SAHAU WEMA WA MUNGU HIVI PUNDE ITAENEA TANZANIA NA AFRICA YOTE.

Catherine Mkoma yuko mbioni kuisambaza Album yake ya Sitasahau Wema Wa Mungu Africa yote kwa sasa sehemu kubwa ya Tanzania imeshaenea na Baadhi ya maeneo ya East Africa,marafiki wote wa Catherine mkoma ambao hamjapata Album mda simrefu mtaipata hapo hapo ulipo.

CATHERINE MKOMA AIMBA PAMOJA NA AMBWENE MWASONGWE KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN.

Wakati Ambwene Mwasongwe akiimba katika Uzinduzi wa Mwamin Muyero Catherine Mkoma ni mmoja wa waimbaji waliokuwa wakimpa support Mwimbaji nguli wa nyimbo za gospel hapa Tanzania mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe bila kumsahau Mwamin naye alikuwepo pamoja na waimbaji wengine wengi.

CATHERINE MKOMA AKIIMBA NGOME ZIMEANGUKA KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN JUMAPILI ILIYOPITA.

Catherine Mkoma ni moja ya waimbaji Toka Tanzania waliopata fursa na heshima ya pekee kualikwa katika uzinduzi wa Album mpya kabisa ya NIMEPATA PUMZIKO toka kwa mwanadada Mwamin muyero na siku hiyo ya uzinduzi Catherine mkoma aliimba ngome zimeanguka huku akipata support ya uchezaji toka kwa mwamin na wengine.Hakika Mungu ni mwema.

Saturday 22 October 2016

MWAMIN MUYERO KUZINDUA LEO TAREHE 23.10.2016 ALBUM YAKE YA NIMEPATA PUMZIKO.

Leo ndio siku ya pekee tuliyo kuwa tunaisubiria kwa hamu sana ambapo Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania MWAMIN MUYERO atazindua Album yake ya NIMEPTA PUMZIKO Mahali ni UBUNGO MAZIWA-CAG(Chuo cha Manabii) Kwa Askofu MABOYA Mda Ni Saa 8:00 Mchana.usipange kukosa Dada MWAMIN anakuita LEO.

Thursday 20 October 2016

AMBWENE MWASONGWE NA CATHERINE MKOMA WATAMSINDIKIZA MWAMIN MUYERO KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAKE.

Ambwene Mwasongwe mwimbaji mashuuri wa nyimbo za injili Tanzania pamoja na Catherine Mkoma Kwa Pamoja Jumapili hii ya tarehe 23.10.2016 watamsindikiza MWAMIN MUYERO katika uzinduzi wa Album yake ya NIMEPATA PUMZIKO,Mahali ni UBUNGO MAZIWA CAG-(CHUO CHA MANABII) Kwa ASKOFU MABOYA.Karibuni sana

CATHERINE MKOMA ATAMSINDIKIZA MWAMIN KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAKE

Ni jumapili hii 23.10.2016 ambayo Mwamin Muyero Atazindua Album yake ya NIMEPATA PUMZIKO ni pale pale UBUNGO MAZIWA -CAG Kwa Askofu MABOYA.Usikoseeee........!

Sunday 16 October 2016

Ngome Zimeanguka: Catherine Mkoma (HD)

Niko Hapa - Beatrice Mwaipaja & Martha Mwaipaja

BEATRICE MWAIPAJA -TUTAFIKA SALAMA (OFFICIAL VIDEO)

Beatrice Mwaipaja- MUNGU UMENIHURUMIA (Official Video)

Naiona Kesho Martha Mwaipaja

AMENISAIDIA BY MARTHA MWAIPAJA

NIFUNDISHE KUNYAMAZA by MARTHA MWAIPAJA

MARTHA MWAIPAJA OMBI LANGU KWA MUNGU {NEW TANZANIA GOSPEL MUSIC 2014}

MARTHA MWAIPAJA VS CATHERINE MKOMA

(Sitasahau Wema wa Mungu) Special Documentary of Gospel Artist Catherine...

Sita sahau Wema Wa Mungu-Catherine Mkoma

CATHERINE MKOMA AALIKWA KUIMBA KWA NABII MALISSA.




Ilikuwa siku ya Pekee na fursa kubwa kwa CATHERINE MKOMA Kuimba katika mkutano mkubwa wa kinabii Uliofanywa na Mtumishi wa Mungu Nabii BG MALISSA uliofanyika jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Tanganyika pekaz-kawe. 

Saturday 15 October 2016

CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO MJINI MOMBASA-KENYA.

Nyimbo ya Collabo ya SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA iliyofanywa KENYA-MOMBASA na CATHERINE MKOMA huku akishirikiana na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY Iko mbioni Kutoka na Baadae Video itafuata.KENYA GET READY......!

SITA SAHAU WEMA WA MUNGU NI ALBUM MPYA KABISA YA CATHERINE MKOMA.

Kwa Sasa Ipo Madukani Unaweza Kuipata kwa nambari 0715570457 Au 0713040730.
Catherinemkomatz@gmail.com

CATHERINE MKOMA NOW IS AT NAIROBI CITY.


CATHERINE MKOMA TOUR IN KENYA @2016

CATHERINE MKOMA afanya tour nchini Kenya alipokelewa vizuri na alipata fursa ya kuimba mjini NAIROBI Pamoja na MOMBASA na Kote alipoimba Alipata kibali na Mungu alionekana Kupitia Watu kuponywa Kwa Jumbe Zilizomo ndani ya Nyimbo zake na Juzi juzi tu mjini Mombasa alifanya Collabo ya nyimbo mpya kabisa inayoitwa SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA huku akishirikiana na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY nyimbo ni nzuri sana na ikombioni kutoka KENYA kaa Tayari.

FOLLOW ME FACEBOOK,INSTAGRAM,TWITTER,YOUTUBE, WHATSAPP +255715570457.

Kwasasa napatikana Facebook kwa jina la CATHERINE MKOMA, Instagram;-@Catherinemkoma,twitter:-@Catherine_mkoma,Youtube:-Catherine Mkoma

CATHERINE MKOMA ATAMSINDIKIZA MWAMINI MUYERO KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAKE YA NIMEPATA PUMZIKO TAR 23.10.2016

Kwa Mara ya Kwanza MWAMIN MUYERO-MWELADZI Atafanya Uzinduzi Mkubwa Wa Album Yake Ya NIMEPATA PUMZIKO Huku Akisindikizwa na CATHERINE MKOMA,AMBWENE MWASONGWE Pamoja na Waimbaji Wengi  Mahali Ni UBUNGO-MAZIWA (CAG CHUO CHA MANABII) Upatapo Tangazo Hili Mjulishe na Mwingine Kiingilio ni Bureee Kabisaa......! Nyote mnakaribishwa.

Friday 14 October 2016

CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO YA SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA NCHINI KENYA.

CATHERINE MKOMA Gospel Artist toka Tanzania amepata fursa nyingine nchini kenya mombasa kwa kufanya nyimbo nyingine ya collaboration akiwa na YVONNE ANTONY aliyezindua album yake jumapili iliyopita pamoja na ELIZABETH ANTONY nyimbo ilikuwa nzuri sana sasa iko mbioni kutoka na video pia inaandalia mda sio mrefu itakuwa hewani KENYA get ready.....!

Monday 10 October 2016

CATHERINE MKOMA ASEMA MACHACHE KWA WAIMBAJI WA KENYA.

Asante sana ndugu zangu wa Kenya-mombasa kwa upendo na ukarimu wenu pia na wapongeza waimbaji wa nyimbo za injili Kenya kwa kujitoa kuja kuungana pamoja na YVONNE ANTHONY ambapo hapo jana alifurahia uzinduzi wa Album yake Mungu Baba yangu wa Mbinguni awapigishe atua nyingine nyingi zaidi.
GOSPEL ARTIST TANZANIA CATHERINE MKOMA.

CATHERINE MKOMA AKIIMBA KATIKA UZINDUZI MOMBASA-KENYA.

Hapa nikiimba katika uzinduzi wa Album ya YVONNE ANTHONY hapo jana mjini MOMBASA-KENYA.

Sunday 9 October 2016

PWANI RADIO FM-KENYA MOMBASA

Nikiwa katika studio za PWANI RADIO FM Mjini Kenya-Mombasa Hapo jana mara baada ya kumaliza INTERVIEW.

JOSHUA CHOME WA PWANI RADIO

Joshua Chome wa PWANI Radio 107.7fm ndiye alifanya interview kwa CATHERINE MKOMA na YVONNE ANTHONY Hapo Jana na Amesema amefurahishwa na Kipaji kizuri alichonacha YVONNE ANTHONY ambaye leo atazindua ALBUM yake na Kufurahishwa pia na Kazi nzuri sana Kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za injili  Tanzania CATHERINE MKOMA.

CATHERINE MKOMA AFANYA INTERVIEW NYINGINE BARAKA FM-KENYA

Mara baada ya YVONNE ANTHONY na CATHERINE MKOMA kufanya INTERVIEW PEMBA RADIO FM hapo jana Leo tena Mapema Asubuhi walipata fursa nyingine ya Kualikwa Kituo kingine cha Redio nchini KENYA ambacho ni BARAKA FM RADIO.

Saturday 8 October 2016

CATHERINE MKOMA AALIKWA KENYA-MOMBASA.

Leo ni siku ya pekee sana kwa YVONNE ANTHONY ambapo atazindua ALBUM YAKE YA WEWE NI MUNGU huku akialika waimbaji wengi toka ndani ya nchi ya KENYA pamoja na Mgeni Rasmi mwimbaji na mwakilishi toka Tanzania ambaye ni CATHERINE MKOMA.

INTERVIEW DAY- PWANI RADIO

Siku ya Leo Jumamosi ya Tarehe 08/10/2016 YVONNE ANTHONY Afanya Interviw akiwa na CATHERINE MKOMA kupitia PWANI RADIO YA 104.7FM Ikiwa pia kama maandalizi ya uzinduzi wa Album ya YVONNE ANTHONY inayo kwenda kwa jina la WEWE NI MUNGU.