CATHERINE MKOMA AIMBA PAMOJA NA AMBWENE MWASONGWE KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN.

Wakati Ambwene Mwasongwe akiimba katika Uzinduzi wa Mwamin Muyero Catherine Mkoma ni mmoja wa waimbaji waliokuwa wakimpa support Mwimbaji nguli wa nyimbo za gospel hapa Tanzania mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe bila kumsahau Mwamin naye alikuwepo pamoja na waimbaji wengine wengi.

ALBUM YA SITA SAHAU WEMA WA MUNGU HIVI PUNDE ITAENEA TANZANIA NA AFRICA YOTE.

Catherine Mkoma yuko mbioni kuisambaza Album yake ya Sitasahau Wema Wa Mungu Africa yote kwa sasa sehemu kubwa ya Tanzania imeshaenea na Baadhi ya maeneo ya East Africa,marafiki wote wa Catherine mkoma ambao hamjapata Album mda simrefu mtaipata hapo hapo ulipo.

SITA SAHAU WEMA WA MUNGU NI ALBUM MPYA KABISA YA CATHERINE MKOMA.

Kwa Sasa Ipo Madukani Unaweza Kuipata kwa nambari 0715570457 Au 0713040730. Catherinemkomatz@gmail.com

CATHERINE MKOMA AFANYA COLLABO MJINI MOMBASA-KENYA.

Nyimbo ya Collabo ya SINA MWINGINE ZAIDI YAKO BWANA iliyofanywa KENYA-MOMBASA na CATHERINE MKOMA huku akishirikiana na YVONNE ANTONY na ELIZABETH ANTONY Iko mbioni Kutoka na Baadae Video itafuata.KENYA GET READY......!

FOLLOW ME FACEBOOK,INSTAGRAM,TWITTER,YOUTUBE, WHATSAPP +255715570457.

Kwasasa napatikana Facebook kwa jina la CATHERINE MKOMA, Instagram;-@Catherinemkoma,twitter:-@Catherine_mkoma,Youtube:-Catherine Mkoma

Thursday 27 October 2016

CATHERINE MKOMA,MARTHA MWAIPAJA NA NABII LINUS TESHA WAPATA PICHA YA PAMOJA.

Ikiwa ni mda mchache kuelekea katika kongamano kubwa la UNABII,UPONYAJI na MIUJIZA mtumishi wa Mungu Nabii LINUS TESHA alipata fursa ya kusema machache na waimbaji toka Dar es salaam CATHERINE MKOMA na MARTHA MWAIPAJA na Baada ya hapo walipata picha ya pamoja.#Dodoma.

Wednesday 26 October 2016

CATHERINE MKOMA NA MARTHA MWAIPAJA WAPATA MUALIKO MJINI DODOMA.

Mtumishi wa Mungu Nabii LINUS TESHA awaalika CATHERINE MKOMA na MARTHA MWAIPAJA katika Kongamano kubwa la Kinabii.uponyaji pamoja na miujiza lililoanza hapo tarehe 25.10.2016 mpaka 30.10.2016 na hili kongamano limeuzuliwa na waimbaji toka sehemu mbalimbali hapa nchini Tanzania kama mbeya,na iringa.Mungu ni mwema watu wamempa Yesu maisha yao.

Tuesday 25 October 2016

ALBUM YA SITA SAHAU WEMA WA MUNGU HIVI PUNDE ITAENEA TANZANIA NA AFRICA YOTE.

Catherine Mkoma yuko mbioni kuisambaza Album yake ya Sitasahau Wema Wa Mungu Africa yote kwa sasa sehemu kubwa ya Tanzania imeshaenea na Baadhi ya maeneo ya East Africa,marafiki wote wa Catherine mkoma ambao hamjapata Album mda simrefu mtaipata hapo hapo ulipo.

CATHERINE MKOMA AIMBA PAMOJA NA AMBWENE MWASONGWE KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN.

Wakati Ambwene Mwasongwe akiimba katika Uzinduzi wa Mwamin Muyero Catherine Mkoma ni mmoja wa waimbaji waliokuwa wakimpa support Mwimbaji nguli wa nyimbo za gospel hapa Tanzania mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe bila kumsahau Mwamin naye alikuwepo pamoja na waimbaji wengine wengi.

CATHERINE MKOMA AKIIMBA NGOME ZIMEANGUKA KATIKA UZINDUZI WA MWAMIN JUMAPILI ILIYOPITA.

Catherine Mkoma ni moja ya waimbaji Toka Tanzania waliopata fursa na heshima ya pekee kualikwa katika uzinduzi wa Album mpya kabisa ya NIMEPATA PUMZIKO toka kwa mwanadada Mwamin muyero na siku hiyo ya uzinduzi Catherine mkoma aliimba ngome zimeanguka huku akipata support ya uchezaji toka kwa mwamin na wengine.Hakika Mungu ni mwema.

Saturday 22 October 2016

MWAMIN MUYERO KUZINDUA LEO TAREHE 23.10.2016 ALBUM YAKE YA NIMEPATA PUMZIKO.

Leo ndio siku ya pekee tuliyo kuwa tunaisubiria kwa hamu sana ambapo Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania MWAMIN MUYERO atazindua Album yake ya NIMEPTA PUMZIKO Mahali ni UBUNGO MAZIWA-CAG(Chuo cha Manabii) Kwa Askofu MABOYA Mda Ni Saa 8:00 Mchana.usipange kukosa Dada MWAMIN anakuita LEO.

Thursday 20 October 2016

AMBWENE MWASONGWE NA CATHERINE MKOMA WATAMSINDIKIZA MWAMIN MUYERO KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAKE.

Ambwene Mwasongwe mwimbaji mashuuri wa nyimbo za injili Tanzania pamoja na Catherine Mkoma Kwa Pamoja Jumapili hii ya tarehe 23.10.2016 watamsindikiza MWAMIN MUYERO katika uzinduzi wa Album yake ya NIMEPATA PUMZIKO,Mahali ni UBUNGO MAZIWA CAG-(CHUO CHA MANABII) Kwa ASKOFU MABOYA.Karibuni sana